Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 16,605
- 127,118
Hakuna jipya chini ya jua mzeeWhy Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...
Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine
Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....
Jua tu kuwa huu ni umma wa mwisho...Why Jamani Wachambuzi wa mambo .. Dunia Ya Zamani Ipo wapi tena..Dunia Iliyokuwa imejaa Maajabu kila baada hata ya Miaka 100 au 200 Jambo kubwa Linatokea..
Ile Dunia ya kina farao.... Dunia ya Maajabu... Dunia ya kinabii.... Dunia Ya kutokea Mitume na Wakafanya mambo Ambayo Yameleta mabadiliko mpka leo hii.. Dunia hiyo imekwenda wapi. Dunia Ya Kuwafufua watu Kiukweli ukweli na si kama maagizo ya Sasa...
Je, Mungu kakasirika kwa miaka Yote Hii... Mpka Imani Za watu zinapoteza uelekeo kabisa... Why pasitokee Jambo au Muujiza ambalo hautaleta Maswali Mengi Kwa watu .. Why Kizazi chetu nacho Kisitoe Historia itakayokuwa Kama muongozo kwa Kizazi kingine
Kwa Dunia ile ya kipindi Kile Mungu alikuwa hakai Muda mrefu Hivi Mbona! na ukimya Wote Huu... Why hata siku Moja hasi-jidhihirishe Hata kidogo kama kipindi cha Yesu akatoa Sauti Watu wakaisikia ....
Hivi kunambia zama hizi na zile za akina Firaun zipi zilikuwa na maasi makubwa?kwa mtu yeyote makini mada yako iko very sensitive
btw mm nadhani miaka ya siku hizi maasi ya wanadamu yameongezeka kwa kiwango kikubwa mpk kufikia Mungu kutoleta ajabu lolote
Lakini pia Muumba ni timeless so hachelewi wala hawai hivyo basi we tegemea muda wowote tu kwa kadri yeye mwenyewe atakavyoamua
sauti yake ikoje ni nyororo,kali au nzito ya kutisha.3 nimedhibitisha ipo hizo nyingine Hapana
kwa hiyo mkuu unadhani mungu kasusa,kwa kutokuonesha kwake miujiza.kwa mtu yeyote makini mada yako iko very sensitive
btw mm nadhani miaka ya siku hizi maasi ya wanadamu yameongezeka kwa kiwango kikubwa mpk kufikia Mungu kutoleta ajabu lolote
Lakini pia Muumba ni timeless so hachelewi wala hawai hivyo basi we tegemea muda wowote tu kwa kadri yeye mwenyewe
atakavyoamua
Mtafute kwa bidii naye utamuona.
God Is For All... Unaposema nitakuwa naongea naye Kila Siku iweje Siku Yesu Anabatizwa Mbona SAUTI kama ilivyoandikwa Ilisikika Hata Kwa Watu Tu waliokuwa Hawana ImaniHe is always there for those who seek him in truth diligently. Utakuwa unawasiliana nae kila siku na kuwashangaa ambao hawampi nafasi. Choice is yours
Majibu yako kidogo yanamantink naona Tutaenda Sawa..Miaka 2000 sasa hakuna muujiza unaoshtua bongo zetu!ndio hakuna na hautakuwepo Yesu alishakutana na watu waliodemand ishara na maajabu zamani za biblia zile akawaambia ''kizazi hiki kinataka ishara hakitapata ishara kubwa zaidi ya ile ya ''Yonah"ndivyo inavyokuwa hakuna ishara unataka Mkuu wa ishara na maajabu na mkuu wa uzima ajidhihirishe utaweza kusimama mbele ya moto ulao (devouring fire)au utakimbia tu kama israel pale sinai Mungu alipoiteremsha sheria yake ya Neema na upendo nakuona kama unataka iharakishwe siku ile kuu ya majilio yake(Yesu)tukio kubwa la aina yake ambalo hutahitaji CNN ikufanyie Coverage kila jicho litamuona.Una heri wewe unaengojea kufunuliwa kwake (Yesu)siku ile
Kesha Omba!mfalme wako Yuko mlangoni.
MAKUBWA!!!!!Yesu Kristo, ndiye alikuwa mjumbe wa mwisho kutoka kwa Mungu.
Sasa hivi tunasubiri kurudi kwake kwa ajili ya hukumu.
mara nyingi alitokea na malaika mkuu jibril(aleysalam) na wakazungumza ana ana akimpa wahhi toka kwa Mungu.Alifanya maajabu gani?
Kwa hakika hata leo Mungu anazungumza kwa watoto wake.Sina uhakika unatoka katika dhehebu gani lakini zipo testimonies kutoka kwa watu wa mashariki ya mbali wakiupokea ukristo kwa kasi ya ''alarming rate"yote hayo ni Mungu anawatafuta watu wake yeye mwenyewe huu nao ni muujiza mkubwa sana mchina leo anamkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi.kiufupi Mungu anajua uwepo wa watu wasio na imani na Mungu(atheist)na ameruhusu wawepo lakini watu hao wameshawahi kuwepo enzi zote mpaka mwisho wa wakati ambapo fumbo kubwa litafumbuliwa na kila kitu kitakuwa halisi.Majibu yako kidogo yanamantink naona Tutaenda Sawa..
Sasa Je Inakuwaje kwa Watu wasio na Imani kabisa na tunapoelekea Inainekana ni Bora mtu akawa hana imani kabisa Kuliko Kuingia Kwenye Ukristo au uislam mana Dini Hizi Mbili zimekuwa ni Kuchanganyana mtindo Mmoja
Je God Is Silent.. Asijitokeze Kwa wasio na imani kabisa.. Hata akawapa Nabii wao..E.g Chinese...Indian... Buddha etc
Safi .. Sasa inakuwaje Asitokee Tu Mfano Kipindi cha Kuwatoa Waisrael Misri Aliweka Mlima Wa sinai moto na wingu zito.. haikujalisha kuna Waliokuwa Wanamuamini au LaaahKwa hakika hata leo Mungu anazungumza kwa watoto wake.Sina uhakika unatoka katika dhehebu gani lakini zipo testimonies kutoka kwa watu wa mashariki ya mbali wakiupokea ukristo kwa kasi ya ''alarming rate"yote hayo ni Mungu anawatafuta watu wake yeye mwenyewe huu nao ni muujiza mkubwa sana mchina leo anamkubali Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi.kiufupi Mungu anajua uwepo wa watu wasio na imani na Mungu(atheist)na ameruhusu wawepo lakini watu hao wameshawahi kuwepo enzi zote mpaka mwisho wa wakati ambapo fumbo kubwa litafumbuliwa na kila kitu kitakuwa halisi.