Why Kuwe na Media Za kutudanganya.. Kwani Jambo kubwa likitokea Ambalo halitahitaji hata media Kuwepo ila Unajionea mwenywe Haiwezekani..........Mambo yanatokea sana sema ktk dunia ya Leo media ndo inaamua which to go where tazama channel ya bishop Zachary kakobe international ministries au web ktk you tube ndo utaamini but shetani na corporations and media looks for what pays not what God does
Hivi jambo kubwa ktk suala pa imani ni lipiWhy Kuwe na Media Za kutudanganya.. Kwani Jambo kubwa likitokea Ambalo halitahitaji hata media Kuwepo ila Unajionea mwenywe Haiwezekani..........
Alifanya maajabu gani?Sasa Mbona alikuja tena Muhammad... Na Dini Kubwa tu Ya uislam Now... yenye Watu 1 billion
Uthibitisho ni pale mtu anapohutubu jambo Fulani la kiroho na kulichambua hakika ni sauti ya Mungu imo ndani yake. My personal experience ni Mchungani Zachary Kakobe of FGBF chunguza nakuruhusu take your time for sometimes anapatikana pale Mwenge karibu na mlimani city chunguza mafundisho yake kanisa linaitwa FGBF au maarufu kwa kakobe Fanya uchunguzi kuna siku utakuja prove.Ishatokea wapi hiyo saut?
Tunahitaji saut itakayo sikika Kama Kipindi cha Yesu anabatizwa Si Sauti Ilisikika kabisa na Watu Wakasikia hata Ambao hawana Imani .. Haya Mambo ya Sijui sauti Ipo rohoni Nani anaisikia Xx sauti ya RohoniUthibitisho ni pale mtu anapohutubu jambo Fulani la kiroho na kulichambua hakika ni sauti ya Mungu imo ndani yake. My personal experience ni Mchungani Zachary Kakobe of FGBF chunguza nakuruhusu take your time for sometimes anapatikana pale Mwenge karibu na mlimani city chunguza mafundisho yake kanisa linaitwa FGBF au maarufu kwa kakobe Fanya uchunguzi kuna siku utakuja prove.
Kiufupi saut ya Mungu ina gharama sana mpaka iwe dhahiri kwako rejea kwa nabii Samweli na Mzee Eli.
Ili saut ya Mungu ina gharama sana ndugu yangu experience ya huyo mchungaji (above) naijua na jinsi alivyopitia hadi hapo alipo mpaka hiyo sauti ya Mungu kuwa dhahiri naona mpaka hapa kuna mwanga utakuwa uneupata kidogo
OK kama unamaanisha kama ya Yesu au Sauli (Paulo) kwa kweli sijakutana na scenario hiyo na siwezi kudhibitisha kwa namna hiyoTunahitaji saut itakayo sikika Kama Kipindi cha Yesu anabatizwa Si Sauti Ilisikika kabisa na Watu Wakasikia hata Ambao hawana Imani .. Haya Mambo ya Sijui sauti Ipo rohoni Nani anaisikia Xx sauti ya Rohoni