2my JF-Expert Member Joined Jan 30, 2010 Posts 287 Reaction score 7 Apr 1, 2011 #1 Habarini za asubuhi wana JF!!!!!! Leo ni sikukuu ya wajinga muwe makini msije ingizwa chaka kama sio vyoo vya kike/kiume!!!!!!! Nawatakia siku njema!!!!!!
Habarini za asubuhi wana JF!!!!!! Leo ni sikukuu ya wajinga muwe makini msije ingizwa chaka kama sio vyoo vya kike/kiume!!!!!!! Nawatakia siku njema!!!!!!
Lukansola JF-Expert Member Joined Sep 5, 2010 Posts 5,435 Reaction score 1,611 Apr 1, 2011 #2 Asante kwa angalizo mpendwa