Habari zenu wakuu,
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 28, Elimu yangu ni bachelor degree of science in food science and technoloy, ni muaminifu na mchapakazi. Nimekuja hapa jukwaani kutafuta kazi yoyote ile iliyo halali maana hapa nilipo sina kazi na nimeshajaribu kutafuta kazi sehemu kadhaa ila sijafanikiwa wananiambia nafasi hamna. Nipo Dsm, mawasiliano 0758 106 501. Kama kutakuwa na mtu yeyote mwenye kazi au aniunganishe na kazi anitafute kupitia namba hizo.
Ahsanteni sana......
MUNGU awabariki wote.