Food bwana

Nimesikia njaa ya ajabu. Ngoja nishuke nikajaladie kwanza.
 
Nyie watu mnaishi kwa kuwaza matusi tu. Asa huyo alieweka hilo apple hivo aliwaza nin??
 
kwani kuna matusi gani hapo mbona vyote ni vyakula tu, au wewe unawaza nini mwenzetu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…