Matukutuku
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 269
- 126
Khaaaa!! Jamani foleni gani hii ya Ubungo inayoanzia mataa ya Mliman City ofisi za Voda?? Tunaomba serikali ichukue hatua za ziada! malori mengi na Strabag nao wanaziba ziba barabara tu. Tumechokaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa .
Tunaumia aiseee jamani
Tunaumia aiseee jamani