Foleni

duh..yani mistari 20 ya magari..hayo magari kama ni bongo yanakutana hivyo,hamtoki barabarani wiki nzima...hiyo ndio mipango miji...magufuli akitaka kubomoa anaambiwa anaichonganisha serikali na wananchi wake
 
Hizo si ndo zile picha alizowaahaidi jk kwenye kampeni zake 2010? kashafika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…