Foleni kwa hapa Dar sasa imekuwa ni kidonda ndugu,hasa ktk barabara za kiunganishi cha Ubungo,Tazara n.k,hii barabara ya Mandera foleni kubwa inasababishwa na malori,sasa Serikali kwanini haya malori ya transit kwanini yasianze safari zao kuanzia usiku saa4:30 ili kupunguza huu msongamano? mfano foleni ya juzi ya kutoka Bugrn kuja Ubungo ilianzia T.O.T muda wa saa9:30