Mwendokasi ungekuwa ni usafiri mzuri kila MTU angepaki gari yake lakini kero yake ungeijua mkuu usingetoa huu ushauriKwani lazima wote mtumie magari
Si muya Paki tu mtumie mwendokasi kwa wale wanazokwenda Posta
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Kero yke naijua mkuuMwendokasi ungekuwa ni usafiri mzuri kila MTU angepaki gari yake lakini kero yake ungeijua mkuu usingetoa huu ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi. Huwa tunapanda kwa sababu ya shida tu lakini si usafiri wenye staha
Abiria wengi magari machacheSafi. Huwa tunapanda kwa sababu ya shida tu lakini si usafiri wenye staha
Sent using Jamii Forums mobile app