Ule mlima wa kutoka Kongowe kuja Rangi 3. Maroli mengi yanakwama wakati wa kupanda na njia ni 1. Watu wa gari ndogo bora upite diversion kuliko kukaa nyuma ya roli
Hii barabara ni majanga matupu:
Leo imetokea ajali mbaya hapa mto mzinga:
RIP Marehemu wote:
Maloli yanafunga njia kuanzia saa 9 mchana:
Ianzishwe ruti ya Kariakoo Kongowe kupitia Dalajani: