HaMachiach
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 3,450
- 6,211
Upo kwenye gari au unatembea na miguu?
Yap line ya Mfugale ndio inazingua yaniHicho ni kipimo Cha ufanisi wa Mfugale bridge, ukiwa buguruni mataa unaona kabisa kuwa line ya kuelekea Mfugale ndiyo haiendi kabisa
Boss kuna vishimo tunavisawazisha hapa makutano ya railway na highway.Mi ni foreman nipo hapahapa.Poleni kwa usumbufu.
Ni siku kadhaa sasa hapa Buguruni kunakuwa na foleni isiyoeleweka. Leo Jumamosi mchana huu kuna bonge moja la foleni.
Hebu traffic litazameni hili, yaani toka Tabata Bima nimetoka saa saba kasoro hadi sasa hivi inaenda tisa sijavuka hata Buguruni, why?
Atakuwa anatembea kwa miguu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Upo kwenye gari au unatembea na miguu?
Kweli jana kulikuwa na foleni mm mwenyewe nilishangaa saa 7 mchana foleni inatokea wapi hii.Jana nilitoka Ubungo saa 6 mchana nikavuka buguruni saa 9, nilikuwa naelekea Gongo la Mboto. HaMachiach
Utatekwa
Watanzania mnadeka hadi inaudhi!