Foleni kubwa Kitonga baada ya Lori kufunga njia

Nimepita hapo nusu saa ilopita lori limeanguka kweli lkn walishafungua njia na hamna foleni
 
Asante kwa taarifa!
Huo ndio muda muafaka kwako kuchukua contacts za watoto wazuri wanaoranda randa hapo! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…