Hahahah...pole Tina, maana naona muda ulioandika hii post ni kama saa 6 mchana....ndio kwetu huko jirani.
Ngoja watutengeneze BRT's mbona watatukoma....
Mimi nimetoka saa kumi na mbili na nusu nimefika saa 4, ile kua njia moja inakua tatizo trafic wanajitahidi mahali pale ila toka jana panawasumbua Strabarg, DART waangalie namna ya kupunguza tatizo lile watafute alternative solution