Focus ya TECNO J8 imekufa

jakwadoda

Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
57
Reaction score
67
Naombeni msaada wenu wana JF katika hili Nina miliki simu hii kwa mwaka mmoja sasa,ila shida hii imeanza kama mwezi mmoja hivi uliopita.Yan sipati picha angavu nikitumia simu hii yan ukipiga picha inablur sana tena maandishi ndo shida kabisa huwezi kusoma kitu!Naombeni msaada wenu katika hili nifanyeje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…