Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,511
Kila rakheri,afike salama! Wewe utakuwepo mkuu?
Mbona simjui au yule wa kundi la Makirikiri
Huyo msanii akiperform jukwaani ni minyama tu,akicheza minyama tu
Unaenda kwenye show kwaajili ya wimbo mmoja
Huyo msanii akiperform jukwaani ni minyama tu,akicheza minyama tu
Tusiende aseeeKwa hiyo unashauri tusiende?
Ana afya kwa kigezo kipi?huo ubonge?hicho kitambi?Ana afya [emoji91]
Tusiende aseee
Jamaa hata muonekano wa kisanii hana,sioni nyimbo zake zikinivutia japo sizijui
Sawa, tutatafuta sehemu tuangalie zetu game ya Man Utd vs Aston Villa.
Maana sasa hivi mmefufuka.
Ana afya kwa kigezo kipi?huo ubonge?hicho kitambi?
Ndio namuona leo hapa JF embu weka hata nyimbo yake moja.
Muonekano matters [emoji23]
Mie naona msimu huu tunaongozwa na bahati,hakuna tunachofanya cha ajabu