FNB Bank mbona mnafunga Branches kwa kasi hivi!

clasi

JF-Expert Member
May 5, 2013
378
683
Mimi ni mteja wa Benki tajwa kwa takribani miaka minne.

Nimestuka kwa miezi 3 iliyopita mmefunga matawi kadhaa jijini.

Tuwaeleweje? Mbona mnaleta taharuki? Tutoe senti zetu humo?

Niliwekeza kwenye akaunt maalum angalau Disemba 2019 nijipongeze kwa Alphard za Offa toka befoward!

Lakin kasi ya kufunga baadhi ya matawi imenistua
 
Pesa yangu yenyewe ya mawazo kama ndo mnataka kufunga semeni mapema nihamishie NMB sihitaji stress kwa hela yangu ya Ngama
 
Hawa si ndio walifungua branch yao matata sana pale Mlimani City miezi ya hivi karibuni?
FNB sidhan kama wana branch Mliman city maeneo hayo hawana mpaka Sinza au uende Oysterbay - Coco beach
 
Kwani wamehama pale kariakoo!?si wapo pia posta jirani na Serena hotel?
Wametoa taarifa kuwa matawi ya Kariakoo na Industrial yatafungwa na kuhamishiwa Main Branch -Ohio Str. Pia, Pale Kimweri Rd. Branch/Msasani washafunga kitambo wateja wamehamishiwa Oysterbay-Coco Beach.
** Benki makini kwa transaction za nje kasi ya kupunguza/merging matawi inatutisha jamani
 
Mkuu sorry sijakuelewa hapo uliposema benki makini kwa transaction za nje.
Ina maana nikiwa na akaunti na kadi za NBC na CRDB itasumbua kufanya transactions nikiwa nje?
 
Mimi ni mteja wa Benki tajwa kwa takribani miaka minne. Nimestuka kwa miezi 3 iliyopita mmefunga matawi kadhaa jijini. Tuwaeleweje? Mbona mnaleta taharuki? Tutoe senti zetu humo? Niliwekeza kwenye akaunt maalum angalau Disemba 2019 nijipongeze kwa Alphard za Offa toka befoward! Lakin kasi ya kufunga baadhi ya matawi imenistua
Uchumi wetu unakua kwa kasi ya ajabu
 
Mkuu sorry sijakuelewa hapo uliposema benki makini kwa transaction za nje.
Ina maana nikiwa na akaunti na kadi za NBC na CRDB itasumbua kufanya transactions nikiwa nje?
Nina akaunti ya Dola (USD) CRDB monthly charges na withdraw fee ni maumivu matupu. Kupokea pesa toka nje ya nchi inachukua muda kiasi. Nimejaribu FNB wana nafuu. Hofu ni huku kufunga matawi ghafla.
***ku-withdraw ukiwa nje si ishu ukiwa na Visa/ Master Card.
 
Uchumi unakuwa kwa kasi sana ,hao walikuwa wapiga dili.
Kitu ambacho naona wachangiaji wengi wa hii thread hawajui ni kuwa benki nyingi duniani kote zinafunga matawi kwa sababu ya kuenea kwa huduma za internet. Miaka ya 2005 nilitembelea Finland na kulikuwa na matawi mengi ya benki mitaani. Benki zilizokuwa zimeenea kwa wingi ni Nordea, Sampo, OP. Nilishangaa sana nilipotembelea tena mwaka huu mwanzoni na kukuta robo tatu ya matawi yote yamefungwa. Zimebakia branches chache sana na ziko mbali mbali na huwa zinatowa huduma zile muhimu tu. Maendeleo ya Internet yameondoa kabisa ule umuhimu wa watu kwenda banks physically!
 
Ni kweli Mkuu kuwepo kwa ATM za kutoa na kuweka fedha kumeondoa uhitaji wa Bank tellers sana kwenye mabenki, idara ya mhimu sana Bank ni loan department ,

Pia hizi huduma za kibenki kupitia simu ya mkononi zimeondoa foleni sana bank na kufanya watu wengine wapunguzwe na matawi kufungwa eg Sim banking, NMB Mobileetc ,

Mkuu hapo niliandika just jokes kum-refer Meko na genge lake wanavodai ,ila pia tukubali tukatae pia kuna branch nyingi za bank zimefungwa kutokana na uchumi kuyumba ,mfano kuna Bank ya CBA (Commercial Bank of Africa) iliyokuwa na tawi tu Mbeya mjini na Tunduma wamefunga kote ,unataka kuniambia hapo ni ukuaji wa teknolojia umesababisha wafunge na kuacha nyanda za juu kusini bila kuwa na branch yao hata moja??? .Au wameshindwa mbinu za kushindana na wapinzani kama CRDB,TBP,NMB etc??
 
Back
Top Bottom