JUAN MANUEL JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 8,562 Reaction score 18,451 Sep 23, 2014 #1 Msaada wakuu,natafuta kifaa hiki,FM TRANSMITTER TUNER ambayo naweza kuitumia,kusafirishanmawimbi ya sauti (audio signal) kwa wireless.naweza kupata wapi, kwa bei yoyote wakuu, mimi nipo Dodoma.
Msaada wakuu,natafuta kifaa hiki,FM TRANSMITTER TUNER ambayo naweza kuitumia,kusafirishanmawimbi ya sauti (audio signal) kwa wireless.naweza kupata wapi, kwa bei yoyote wakuu, mimi nipo Dodoma.