FM: Jihadhari na Utapeli wa Mitandao

FM: Jihadhari na Utapeli wa Mitandao

Mkuu bado upo kwenye hizo kitu?
 
Pole sana mkuu, kwa maelezo haya inaonekana umeliwa any way usikate tamaa. Wekeza nguvu zako katika kujifunza hizo mambo za bitcoin.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SUBIRI MAYAMK HUMU JUKWAANI WATAKAVYOKUSHAMBULIA
tulishawaambia kwa sana tu
 
Hii kitu ya cryptocurrency kuna jamaa zangu iliwaingia sana akilini sijui iliwafikisha wapi.
Shukran kwa kushare nasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule jamaa yetu atakuwa mdau nn....
 
Money should be scarce to earn but not too scarce.
Pesa halali kuipata ni ngumu lakini pia isiwe ngumu sana.
Ukikaa umejua hili si rahisi kutapeliwa kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom