Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 713
- 1,518
napenda kuhusu dart, jinsi inavyokumbatia syntax za C,C++ na JS kwa pamojadart
napenda kuhusu dart, jinsi inavyokumbatia syntax za C,C++ na JS kwa pamoja
var x = 0; (JS style) au int x = 0; (C/C++ style)
zimafanya app kadhaa(siyo kubwa) na flutter, za ku link na php api kwa http, nodejs api kwa mqtt
UI yake iko close to native kwa Android , ila iOS hmm , bado
Personally huwa napenda Native language and toolkits. Since kuna mobile platforms mbili tu, always huwa na suggest native solutions.
Hii ni toka enzi za Cordiva na ile sijui nini touch.
Native huwa always ni superior kwa sababu una direct access na kila kitu accessible.
Only ObjectiveC ilinifanya nikaachana na iOS platform mpaka ujio wa Swift. Sijawahi kuelewa sababu za kutumia non native wrappers kwenye mobile platforms
Sio dhahania, kuna apps ambazo tumetengeneza. Zipo Playstore na Appstore. Ni Kotlin na SwiftKwa hiyo mkuu, kama una app unatakiwa iwe kwenye android na iOS je itatumia react/flutter kutengeneza single codebase au utatumia java na swift?
Google ana app ngapi ambazo kaandika kwa Flutter? Au na yeye no IT wa Bongo?Kuna watu mpaka leo wanadhani kutumia flutter au react native wanaona ni uvivu (programmers wa kibongo)
Utakuwa hujawahi fanya development kwenye hizi platform kujua kwamba anayeweza kuchapa code kwenye hiz platform natively ana upper hand kuliko hawa wa kwenye flutter. Again hii iko wazi kabisa kwa aliyefanya hizi mambo.Wao wanaamini lazima upige kotlin,java au swift.
Kotlin is simpler than dart to me. So I cannot complicate life by learning Dart when am experienced and enjoy Kotlin. Swift is breeze to me and works just fine with my iOS development. Kujifunza Dart ni kuyafanya maisha yangu yawe magumu unnecessarily!Tusifanye maisha kuwa magumu guys programming is always about simplicity.
All the best!Personally mwezi huu maanza kucheza na flutter inshaalha mpaka december nitakuwa mahali pazuri sana. Kuna mzigo kule freecodecamp wa flutter una masaa 37 kama upo interested nenda kauchukue.
Inshallah nitarudi apa december na mrejesho murua.Google ana app ngapi ambazo kaandika kwa Flutter? Au na yeye no IT wa Bongo?
Utakuwa hujawahi fanya development kwenye hizi platform kujua kwamba anayeweza kuchapa code kwenye hiz platform natively ana upper hand kuliko hawa wa kwenye flutter. Again hii iko wazi kabisa kwa aliyefanya hizi mambo.
Kotlin is simpler than dart to me. So I cannot complicate life by learning Dart when am experienced and enjoy Kotlin. Swift is breeze to me and works just fine with my iOS development. Kujifunza Dart ni kuyafanya maisha yangu yawe magumu unnecessarily!
All the best!
Just ku expand, kutengeneza app kwa kutumia hizi intermediary frameworks ni kupoteza control ya development. Mfano kwenye Swif naamua mwenyewe whether naandika moja kwa moja kwa kutmia iOS Networking framework, natumia third party kama Alamofire na Kingfish, et al. Hii option hauna kwenye Flutter and it makes the whole world of difference.Kwa hiyo mkuu, kama una app unatakiwa iwe kwenye android na iOS je itatumia react/flutter kutengeneza single codebase au utatumia java na swift?
Just ku expand, kutengeneza app kwa kutumia hizi intermediary frameworks ni kupoteza control ya development. Mfano kwenye Swif naamua mwenyewe whether naandika moja kwa moja kwa kutmia iOS Networking framework, natumia third party kama Alamofire na Kingfish, et al. Hii option hauna kwenye Flutter and it makes the whole world of difference.
Moreover hata ikitokea kesho Google wakapoteza Interest kwenye Flutter, haiathiri maisha yangu kama developer. Hii inaweza kukushangaza lakini Google wamepoteza interest kwenye products nyingi tu so haitakuwa jambo jipya.
Killed by Google
Killed by Google is the open source list of dead Google products, services, and devices. It serves as a tribute and memorial of beloved services and products killed by Google.killedbygoogle.com
Inatosha 😀😀Google ana app ngapi ambazo kaandika kwa Flutter? Au na yeye no IT wa Bongo?
Google ana app ngapi ambazo kaandika kwa Flutter? Au na yeye no IT wa Bongo?
Utakuwa hujawahi fanya development kwenye hizi platform kujua kwamba anayeweza kuchapa code kwenye hiz platform natively ana upper hand kuliko hawa wa kwenye flutter. Again hii iko wazi kabisa kwa aliyefanya hizi mambo.
Kotlin is simpler than dart to me. So I cannot complicate life by learning Dart when am experienced and enjoy Kotlin. Swift is breeze to me and works just fine with my iOS development. Kujifunza Dart ni kuyafanya maisha yangu yawe magumu unnecessarily!
All the best!
Nadhani sasa umejipa jibu! Huwezi kufananisha "Cool trends" na battle tested au core technologiesKabla ya kujiuliza Google ana app ngapi kaandika kwa flutter jiulize google imeanza lini na flutter imeanzishwa na google lini.
😆Nadhani sasa umejipa jibu! Huwezi kufananisha "Cool trends" na battle tested au core technologies
Moja ya faida ya kutumia native PL (labda java kwa Android au swift kwa ios) ni kwamba zina work well na OS. lkn tech inazidi kukua system zinazidi kupokea maboresho hizi native nazo zipo zinafanya kazi vizuri tu. Nilikua najaribu kuwaza hapa kama tuki tumia ma java, kotlin sijui swift ku tengeneza app complex system labda za fintech, health etc halfu huyu flutter tukamtumia kwenye mid and small project hapa hatutakua tume save capital na time mkuu ?@Stefano MtangooPersonally huwa napenda Native language and toolkits. Since kuna mobile platforms mbili tu, always huwa na suggest native solutions.
Hii ni toka enzi za Cordiva na ile sijui nini touch.
Native huwa always ni superior kwa sababu una direct access na kila kitu accessible.
Only ObjectiveC ilinifanya nikaachana na iOS platform mpaka ujio wa Swift. Sijawahi kuelewa sababu za kutumia non native wrappers kwenye mobile platforms
Sijaelewa unamaanisha nini mkuu hapo juu Upepo waKwa hiyo mkuu, kama una app unatakiwa iwe kwenye android na iOS je itatumia react/flutter kutengeneza single codebase au utatumia java na swift?
Masaa 37, hiyo si project mtu unafanya unamaliza kabisa. Anyway ngoja ni review alafu ikinipendeza nita downloadKuna watu mpaka leo wanadhani kutumia flutter au react native wanaona ni uvivu (programmers wa kibongo) Wao wanaamini lazima upige kotlin,java au swift. Tusifanye maisha kuwa magumu guys programming is always about simplicity. Personally mwezi huu maanza kucheza na flutter inshaalha mpaka december nitakuwa mahali pazuri sana. Kuna mzigo kule freecodecamp wa flutter una masaa 37 kama upo interested nenda kauchukue.
Sijakuelewa mkuu, ya ni Google wa dump flutter??,Just ku expand, kutengeneza app kwa kutumia hizi intermediary frameworks ni kupoteza control ya development. Mfano kwenye Swif naamua mwenyewe whether naandika moja kwa moja kwa kutmia iOS Networking framework, natumia third party kama Alamofire na Kingfish, et al. Hii option hauna kwenye Flutter and it makes the whole world of difference.