Kuanzia prof picture yako uko na picha za mbwa na mzungu, nakushauri uishi nao kwanza ndio ujue how they percieve us with black skin!!
I hate them to be sincere hata kama sio wote; last week my comrade alipigwa na yai huko Victoria kisa mweusi.. Anyway kila mtu anaamua atakavyo