Florida: Watu wanne wafariki dunia baada ya daraja kuanguka

hahahahaha Bavicha watakimbia huu uzi maana wao wanaamini kila kiangukacho basi ni cha africa tena tanzania.
Kwa uzi huu wote wana hara tuuu.....hahahaha
Bavicha wafata mkumbo watoto wa Mange
 
hahahahaha Bavicha watakimbia huu uzi maana wao wanaamini kila kiangukacho basi ni cha africa tena tanzania.
Kwa uzi huu wote wana hara tuuu.....hahahaha
Bavicha wafata mkumbo watoto wa Mange
Zile kelele za expansion joints sizikii kwenye uzi huu
 
Inasikitisha sana...

Waangalie kama ni natural disaster hewala...

Kama ni man made disaster... Mkandarasi awajibishwe...

Cc: mahondaw
 
Haya mambo yanatokea, si kwa kupenda. Lakin ingetokea apa nadhani ingeongeza kasi ya maandamano
 
Back
Top Bottom