Flat tv (TCL 40"-SMART)

vunnja

Member
Joined
Sep 16, 2017
Posts
86
Reaction score
20

TCL 40"smart tv
970,000
Delivery in dar es salaam na kwa mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(CHINA PLAZA)
 
Blender ya kusagia matunda na kuchuja
Bei 200,000
 
TCL 40"smart tv
970,000
Delivery in dar es salaam na kwa mikoani tunatuma pia
0717-062242
Tupo k.koo(CHINA PLAZA)
Boss hii TV bei yake sasa iv shilingi ngapi maana mwaka umekatika tangu umepost bahati mbaya na mm ndio leo naona tangazo lako na mwaka 2019 nataka niweke flat geto NIPE BEI BOSS
 
Swali zuri mkuu. Lkn yawezekana aliyeposti ni miongoni wa waliofunga maduka K/koo. Maana hii ndiyo nchi pekee duniani ambapo makusanyo yanaongezeka wakati biashara zinakufa.
 
mimi hizo HABARI sipendi kusikia Mi nimetaka invoice sasa HABARI za kufunga duka ilihali vitu vya electronics ni biashara za kila siku zinatoka sana izi biashara therefore mtuma UZI kama yupo online alete BEI
 
Utamsubiri sana. Alienda Mtwara kulima korosho, jeshi limeshindwa kuzikusanya na kuzibangua. Mtaji hana tena.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…