Flat screen TV nchi 32 inahitajika kwa 300000

Flat screen TV nchi 32 inahitajika kwa 300000

igihumbi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2017
Posts
572
Reaction score
553
Bajeti yangu ni 300000 nahitaji flat screen TV ya nchi 32 kama inapatakana weka taarifa zako nikutafute mm nipo dar.
 
Kama Unaweza Ongeza elf 90 nenda tu dukani utapata star x Inch 32.,though sjui ubora wa Hyo brand
 
Mkuu nenda kanunue Hitachi tu na chenji itabaki ya kununulia king'amuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom