wazirihusika
Member
- May 17, 2013
- 83
- 82
TV flat screen inahitajika,brand name yeyote budget 450,000 tshs
ipo singsung inch 32 mpya kwa box nauza 420000tsh tu wasiliana nami 0713388226
You mean 1m?Natafuta led tv Nchi 52 Kuna mita moja ubaoni.
✅✅✅✅✅✅✅✅ yap 💯💯💯👏👏👏.You mean 1m?
Natafuta led tv Nchi 52 Kuna mita moja ubaoni.
Bado ipo? Uza 300
395000tsh mwisho
ipo singsung inch 32 mpya kwa box nauza 420000tsh tu wasiliana nami 0713388226
Jumia. com
Sumsung LED 40 inch inauzwa Tshs 930,000, km upo Dsm unaletewa mpk mlangoni
Hivi kama upo Mkoani, Hawaleti au???? Kwani Huduma ya kuletewa hadi nyumbani kwako ni kwa Dar tu??
Dar: wakikuletea unalipa CASH ON DELIVERY!
Mikoani mpk ulipe in advance kwa mpesa, Tigo pesa au Airtel money!