Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,468
Mkuu kuna dogo anahitaji sasa bajeti yake ipo chini ndo mana anataka usedkwanini usiende kariakoo mbona vitu kwa sasa bei ni nzuri sana utapata uitakayo?
Sasa hii c bei ya mpya kabisaNjoo nikupe samsung kwa 450 LED, iko safii hatari inches 32
AhsanteKachukua ouling kkoo..inch 32
380,000
Kumbe samsung 32 inches mpya inauzwa hiyo bei? Aisee labda kana unaongelea star xSasa hii c bei ya mpya kabisa
Mkuu ni asubuhi hii, alaf jumapili ya Bwanami nilijua flat screen KE, kumbe tv
hata kariakoo za bei ya chini zipo usiogope we mweleze una sh.ngapi atakwambia flat unayoitaka utaipata.Mkuu kuna dogo anahitaji sasa bajeti yake ipo chini ndo mana anataka used