the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,106 Reaction score 357 Aug 14, 2014 #1 Naomba kusaidiwa wakuu, nina flash ya toshiba 8GB kwenye pc yangu W7 32bit nikichomeka haionekani, nikihamisha kwenye computer ya jamaa 64bit inaonekana. Naomba kama kuna uwezekano wa kusoma kwenye pc yangu ya 32 bit.
Naomba kusaidiwa wakuu, nina flash ya toshiba 8GB kwenye pc yangu W7 32bit nikichomeka haionekani, nikihamisha kwenye computer ya jamaa 64bit inaonekana. Naomba kama kuna uwezekano wa kusoma kwenye pc yangu ya 32 bit.