Asante, hv hakuna njia nyingine coz kuna m2 mmoja aliniambia kama unahitaji kujua flash/m' card ni orignal,
>Unaweka data za ukubwa wa hiyo storage yako
mf:
kama una memo /flash (4gb), unaweka data zenye ukubwa huo huo. Then una test kama zina fanya kaz zikiwa kwenye hyo storage zikikubali bac hyo ni YENYEWE.
Je ni kweli.