Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,252 Oct 11, 2013 #1 Wakuu naombeni jinsi ya kufungua flash yangu. Nimeiscan ila ndio hivyo imegoma kufunguka. Solution tafadhali
Wakuu naombeni jinsi ya kufungua flash yangu. Nimeiscan ila ndio hivyo imegoma kufunguka. Solution tafadhali
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Oct 11, 2013 #2 Aina gani hiyo flash mkuu?
Raia Fulani JF-Expert Member Joined Mar 12, 2009 Posts 11,866 Reaction score 4,252 Oct 11, 2013 Thread starter #3 Flash hizi hizi za kawaida. 1 GB
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Oct 11, 2013 #4 Flash zina majina mkuu. Flash zote ni za kawaida. Cha msingi ni kujua kama ni Transcend, HP, Toshiba, Sony au .................???????????
Flash zina majina mkuu. Flash zote ni za kawaida. Cha msingi ni kujua kama ni Transcend, HP, Toshiba, Sony au .................???????????
M Mwananchi JF-Expert Member Joined Oct 4, 2012 Posts 2,924 Reaction score 2,260 Oct 11, 2013 #5 Mimi external disk yangu aina ya Toshiba GB250 imenigomea na ni kama back up yangu sijui nifanyeje naomba ushauri hekimatele said: Flash zina majina mkuu. Flash zote ni za kawaida. Cha msingi ni kujua kama ni Transcend, HP, Toshiba, Sony au .................??????????? Click to expand...
Mimi external disk yangu aina ya Toshiba GB250 imenigomea na ni kama back up yangu sijui nifanyeje naomba ushauri hekimatele said: Flash zina majina mkuu. Flash zote ni za kawaida. Cha msingi ni kujua kama ni Transcend, HP, Toshiba, Sony au .................??????????? Click to expand...
M medo1792 Member Joined Jun 2, 2013 Posts 25 Reaction score 2 Oct 24, 2013 #6 hebu jaribuni kufungua kwa command.......
V vunga g Member Joined Sep 5, 2011 Posts 83 Reaction score 39 Dec 1, 2013 #7 medo1792 said: hebu jaribuni kufungua kwa command....... Click to expand... mkuu ebu 2pia izo command 2chape maana hta mi na tatizo la flash kugoma
medo1792 said: hebu jaribuni kufungua kwa command....... Click to expand... mkuu ebu 2pia izo command 2chape maana hta mi na tatizo la flash kugoma