Inaitwa *flush* si flash. Hii ni milamgo miepesi si migumu. Ni mizuri kwa matumizi ya ndani tu maeneo ambayo hayafiki maji kwani huaribika haraka na maji. Milango hii katikati inauwazi..imetengenezwa kwa plywood na mbao kidogo.

Sio kwamba yakimwagia hapo hapo unaharibika, isipokuwa ile plywood huanza kubanduka taratibu. Bei yake si kubwa kama ile milango ya mbao ngumu kama mninga, mkongo nk.