(Samahani kwa comment hii)
Kuna siku mtu mmoja alikuwa anaomba msaada juu ya dawa kama hizi, kwamba ana ugonjwa flani unaomsumbua hivo anataka ushauli endapo hazitamdhuru.
*Baadaye ikaja gundulika kuwa alikuwa anataka kujua endapo hizo dawa zinauwezo wa kutoa mimba/embryo au la!, baadaya ya kuambiwe asitumie zinaweza kumdhuru mtoto aliye tumboni na hata kutoa mimba, basi alipata jibu na kuanza kutumia kama mbadala kuchomolea embryo//matured pregnant.
TUWE MAKINI.