‘Fixed’?

mkuu na umejiida Da Vinci? ...acha utani basi...kwa kutafsiri huko uwe Leonardo kweli?
 
Ni nwendo wa kufukua makaburi tu kwa sasa. Tangu slowslow achafue hali ya hewa.
 
Huu uzi ulileta majibu zaidi ya maswali au maswali zaidi ya majibu?
 
Akili kubwa sana they was in the mission
 
Ilikuwa inashangaza sana president anatembea na lifeni wee acha tu

Magufuli was a demon but this guy's are more demons

Hilo lifeni lilimsaidia kupunguza joto sana kulingana na effects za kifaa alichofungiwa kwa matibabu yake na effect alizokuwa akikumbana nazo kimazingira, hakua na jinsi ya kulificha ndio maana tuliliona.

Mara ya kwanza kusikia Magufuli ni mgonjwa wa moyo na amepandikiziwa ICD ni baada ya tukio la October 1, 2019 baada ya ule moshi alipotea kama siku 3 hivi kukiwa na uvumi kapelekwa Ujerumani na mtoa taarifa hizo alikua Kigogo2014.

Na nilipokuja kumuona jiwe hayupo sawa ni kwenye kampeni za 2020 ambapo ratiba yake ilikua na mapumziko mengi kuliko Lissu hadi ilibidi wamtengenezee Lissu zengwe afungiwe apumzike kupeleka moto kwenye kampeni .

Hata siku ya uapisho ile November 5 unaona uso ulikua umeanza kubadilika na kwa karibu sana alionekana siku ya mazishi ya kijazi akiwa na kifaa cha kuregulate oxygen mkononi.

So nilichogundua baada ya kifo chake ile account ya Kigogo ilihamisha aina ya contents na kuanza kumsifia Samia na Kikwete maana yake hata taarifa nyingi sana alizokua anatoa zilikua ziko nyuma ya hawa watu ndio maana niliwahi kusema Magufuli angejua adui yake sio Lissu au CHADEMA bali ni watu anaokaa nao mezani basi angeshtuka mapema sana kuujua ukweli .

Leo hii account ya Kigogo imekua ya mapambio kwa Samia na ni kama iliuzwa na yeye akapewa mamilioni ya dola na kuhakikishwa usalama wake kutoka UK akarudi bongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…