Wewe ndio hunielewi
Unafikiri mimi sababu ya kusema Mayele hana maajabu ya kuwafanya Club za Ulaya zimsajili ni kutokana na yeye kutoripotiwa kwenye pages za CAF
Na ndio maana unakuja na sababu ndogo ndogo kama hizo za kupostiwa kwenye pages za CAF
Halafu unaposema "anapostiwa sana" hiyo sana unaipimaje?
Kwasababu mpaka sasa Mayele ana goli 5 sawa na Chivavela wa Marumo iliyoshuka daraja.
Club Bingwa mashindano ambayo ni magumu hadi Mayele mwenyewe yalimshinda, huku top score ana goli 6.
Kwa hiyo kwa hoja yako endapo itaonekana Mayele anashika headlines sana kwenye pages sa CAF tafsiri yake ni bora kuliko hao miamba wenye mabao kumzidi?
Nb:
Dr Matola PhD aliwahi kusema kwamba Admin wa pages za CAF ni Simba ndio maana anapost sana vitu vingi kuhusu Simba na kuisahau Yanga.
Leo tena unaposema Mayele anapostiwa sana hapa unakuwa mnanichanganya hususani pale napokumbuka maneno ya huyo mdau niliyem-mentioin