milito23
Member
- Jul 12, 2015
- 87
- 15
Baada ya aliyekua mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Prof. Ibrahim Lipumba kuandika barua ya kutaka kurejea katika wadhifa wake wa uenyekiti leo Jun 17 2016 CUF kupitia kwa Mwenyekiti wa Kamati ya uongozi Taifa Twaha Issa Taslimawamemuomba Prof Lipumba kutowayumbisha kwa maamuzi yake ya kutaka kurejea tena kwenye nafasi hiyo wakati awali aling’atuka, Taslimaamesema……
>>>’Chama cha Wananchi CUF kinapenda kuchukua nafasi hii kumuomba Profesa Lipumba kwamba asijaribu kukiyumbisha Chama katika kipindi hiki ambacho nchi ina matatizo makubwa ambapo Watanzania wanahitaji kuwekwa pamoja na kupewa matumaini ya namna gani matatizo yao yanaweza kutatuliwa’
>>>’tutahakikisha Katiba yetu ya Chama na Kanuni zake zinazingatiwa wakati wote na kwamba kila mwanachama atapata haki yake kwa mujibu wa Katiba yetu, hakuna atakayedhulumiwa’
Tambua kila sehemu kuna kanuni na taratibu zake demokrasia ifatwe ukitukimbia kwenye kunawa tutakamatana jamvini.....#