Fisi ni Mwoga tu mppaka sasa hvi! Ilijulikana tokea zamani kuwa chui kwa fisi si kitu ila huyo fisi bado mpaka sasa hv anatafuta urafiki wa simba japo si mpaka mda huu hajaonyesha nia ya dhati ya kuwa na urafiki na fisi
Fisi atabaki kuwa mwoga maisha yake yote vinginevyo anaweza kubadilisha staili ya mwanadamu kuishi kutokana na ulafi wake