Aen Urner
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 380
- 376
Bsc in Mechanical Engineering ndio program nnayoichukua ktk Chuo kikuu cha DSM pale mjini Kati CoET, M/Mungu akijalia mapema mwez wa 11 ntakuwa nauanza Mwaka wangu wa tatu. Kabla sijafika Chuo akili yangu ilikuwa imekaa kibatabata baada ya A'level kubanwa sana bas nkaambiwa nipige moyo konde nitakuwa huru Chuo na nitakula bata kwa kadri nnnavyotaka, Ni kwel sikatai Chuo kuna bata wengi ila sio kila mwanachuo anawala, wewe Mwaka wa kwanza Chuo kuna bata lakin kitu kimoja unapaswa kujua ni Kama wewe ni mmoja ya wanaostahili kula bata ama la.kujua hilo pekee litakusaidia kufanikisha male go yako chuoni, Bnafsi simjui na sijawahi kula bata sio kwmba simpendi la hasha, ni basi tu sijawahi kumpata.
Wadogo zangu Mwaka wa kwanza "NJOONI TULE BATA".
Wadogo zangu Mwaka wa kwanza "NJOONI TULE BATA".
