KISUNZU YP
Senior Member
- Jul 30, 2016
- 114
- 37
Tareh 22 August.Wadau naomba kuuliza hakuna ambaye ameshachaguliwa kwenye chuo chochote wale mlioomba vyuo kwa dirisha la Kwanza la TCU? Lini yatatolewa???
Una uhakika hiyo ni course kwelii??Mwenye kuelewa kozi ya Heavy Duty Engineering inatolewa chuo gani hapa Tanzania?
Sina uhakika mkuu, labda nitakua nimekosea namna ya uwasilishaji. Naomba msaada tafadhali.
Mbona kimya tuTareh 22 August.
Ushawahi kuona taasisi za TZ zikafanya vitu on time!Mbona kimya tu
Ni nadra sana.....Ushawahi kuona taasisi za TZ zikafanya vitu on time!
Kwangu inasumbua au mtandao unatumika sanaUdsm tayari wametoa
Download TCU Guidebook Ina KOZI zote zinazotolewa na vyuo vyote Tanzania.Mwenye kuelewa kozi ya Heavy Duty Engineering inatolewa chuo gani hapa Tanzania?
Wametoa PDF la first selection au ni kwenye account ya mwombaji?Sua tayari wametoa
Dogo acha bangiMwenye kuelewa kozi ya Heavy Duty Engineering inatolewa chuo gani hapa Tanzania?
TayariMzumbe bado hawajatangaza
UnaruhusiwaWakuu ukipigwa chini first selection unaruhusiwa kuomba tena second selection