Christina George
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 673
- 784
Hahaha kuchezea simu, hizo zote ni aibu za first dates hasa kwa mtu ambaye hujamzoea kabisa lazima ushike simu muda Fulani .Well, point nzuri ila nyingi hazi fit kwenye mazingira yetu na maisha kiujumla.
Kitu cha kijinga kabisa na cha hovyo kwa wengi ni kupenda kucheza na simu sana wakati wa maongezi.
Hahaha kuchezea simu, hizo zote ni aibu za first dates hasa kwa mtu ambaye hujamzoea kabisa lazima ushike simu muda Fulani .
Kutojiamini ni tatizo ndo maana mtu unaishia kuzuga kwenye simu .Sio ustaarabu mko katika mazungumzo ila wewe uko busy ku chat na kukenulia meno screen ya simu. Hapo ukimuongelesha anaitika kama bubu tu .mmmhh....mmmh..eeehh.
Concentration yote iko kwenye simu. Sijui ni ma group ya ku chat..au ni umbea huwa mnatoa real time update kuwakoga wenzenu kwa hizo chatting..
Kutojiamini ni tatizo ndo maana mtu unaishia kuzuga kwenye simu .
Kiukweli haifai sema kuangaliana muda wote face to face ni ngumu mno .
Huwezi kumfahamu kwa njia hiyo kabisaSio lazima kuangaliana face to face, ila inatakiwa unapokuwa kwenye date uwepo wako uonekane pale kwa wakati huo. Sio muda wote ku chat tu. Sasa utapata vipi time ya kumfahamu mwenzako kama utakuwa busy na simu tu?
Mbona mnasumbuka hivi
Mambo n simple, kama ipo, ipo tuu
You're right.Cancel him if he's going too fast or if he's too pushy.Lakini Kama ulivyosema,it depends whether you're the easy type or the uptight type.Mbwembwe tuu hizo unatakiwa kujiamini na kuwa muwazi kwa mipaka yako sio unashikwa shavu naww unachekelea kumbe mwenzio anapima atatumia mda gani kufanikiwa kukukula. Uko cheap au unajielewa!! Sasa wee sogezewa mdomo first date afu ufumbe macho.
That's more of a booty call than a date according to me.LOL
Point taken.😅That is pretend, it is better to let the man love you for the way you are, ndo mana sikuizi mahusiano hayadumu...Kuonana unaonana na Cindy, kwenye date anakuja Candy, you fall for candy after one week of dating Booom......unadate na KENDI..then you loose your appetite and your relation no longer works.
Kweli...Asilimia 33 ya wanawake wanaenda kwenye first date na wanaume wasiowapenda, ili tu wanunuliwe msosi wa bure Lily Mahaba
.Juz kati jamaa yngu kaita mrembo kaja na wenzie watatu tena kwa kushtukiz wamekuja apo full makelele wenyew wanapga stori kwa kwenda mbele na kuchat na cm zao, mtihan sn.
Hii lugha umetumia siyo ya kisomi.Waliosoma.
Date=KudangaKama huelewi unaweza kutumia Google translator.