First comment ya post yoyote hapa huonyesha mtiririko wa mada utakuwaje, jaribu kuona ni kwa namna gani wachangiaji wengine wamechangia mada kulingana na comment ya kwanza katika mada.
Mf. mchangiaji wa kwanza akisiliba , basi asilimia kubwa ya wachangiaji watachangia kulingana na comment hiyo ya kwanza