Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,967
Ulivoona umechoka kuwaumiza ndio ukaona uwashauri ety?Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.
Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.
Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.
Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Nadhani hii sio mistake.. bali ni indefference.Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.
Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.
Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.
Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Hata kama unao mshiko. Fanya jaribio la kumpenda mdada kweli na yeye ajue unampenda. Nyodo zitaanza,dharau zitaanza, ataaanza kukusumbua.Wanaume wengi wanaoonesha kupenda kweli huwa hawapendwi sana na wanawake mana wengi hawana mshiko wa kutosha
Lost lost IDNaomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.
Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.
Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.
Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
We wadanganye tu wenzako, mapenzi hayana kanuni!! Kumbuka, ukitoa mbinu za kudili na jambazi hadharani ujue jambazi nae anazisoma!!Naomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.
Najua wanawake hua hamuwezi kutenganisha hisia zenu na upendo wenu kwa aatu mnaowapenda. Mkimpenda mtu mnaweka hisia zenu zote na upendo wenu wote kwake.
Naomba niwashauri kitu, olewa au kua na mahusiano na mwanaume anaekupenda na sio unaempenda. Ukiwa na mwanaume unaempenda utamfanya utakavyo, atafanya utakavyo. Mwanaume anaekupenda atafanya kila kitu unachokitaka ili tu uendelee kua nae.
Kosa kubwa mnalolifanya ni kutaka kua au kuolewa na wanaume mnaowapenda ninyi, mwanamke ukishampenda mwanaume basi umaamini kua na yeye anakupenda kama unavyompenda wewe na anawaza kama unavyowaza wewe.
Wanawake msipotambua hilo, wanaume wataendelea tu kuchezea hisia zenu.
Mwanamke wangu alivyojua nampenda vituko haviishi, siku hizi hanitafuti mpaka nianze mimiHapo mahusiano yataelemea upande mmoja, na shida ya hawa wenzetu wakijua wanapendwa vituko vinaanzia hapo.. mwanaume lazima akome. Ni wachache wanao tulia.
Akianza kusumbua si unachkua mwingine mkali zaidi yake pesa si inaongea asikwambie wewe wanawake wananyenyekea sana watu wenye pesaHata kama unao mshiko. Fanya jaribio la kumpenda mdada kweli na yeye ajue unampenda. Nyodo zitaanza,dharau zitaanza, ataaanza kukusumbua.
Ndio walivyo wengi wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea point sana lakini ndugu huyo mwanaume wa namna hiyo hayupoNaomba niwashauri wanawake jambo moja kuhusu mahusiano haya mahusiano ya kudumu yanayopelekea ndoa au kuoana.