First aid: Tatizo la nguvu za kiume

First aid: Tatizo la nguvu za kiume

Dr Luu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2016
Posts
968
Reaction score
856
Habari,

Hongereni kwa kutimiza majukumu yenu ya kila siku kuhakikisha tunasogeza mbele gurudumu la maendeleo binafsi, familia na taifa letu.

Nimeamua kuandika uzi huu ili kuhakikisha pia tunajenga afya na kuendelea kutimiza majukumu yenu ya unyumba hasa kwa wanaume. Nimeleta hii huduma ya kwanza kwa wanao sumbuliwa na tatizo hili tuliitalo nguvu za kiume ( pre ejaculation, low testosterone, stamina n.k) kwa kutumia tiba asili ya majumbani.
1000129322.jpg

Juisi ya Nguvu kwa Wanaume 🚹🔥

Kama umekuwa ukihisi kupungua kwa hisia, au unashindwa kurejea haraka baada ya bao la kwanza, basi hii ni tiba ya asili yenye matokeo ya moja kwa moja.

Viambata vinavyohitajika:

Kipande cha tangawizi 🫚

Punje 3 za kitunguu saumu 🧄

Kitunguu maji kimoja 🧅

Tango moja 🥒

(Asali vijiko 2–3 kwa ladha na nguvu ya ziada 🍯)

Namna ya kutengeneza:
1. Safisha na katakata viambata vyote.

2. Weka kwenye blender, ongeza glasi moja ya maji.

3. Saga hadi upate juisi laini.

4. Chuja na kunywa nusu saa hadi lisaa moja kabla ya tendo.

Faida zake:
💚Huchochea mzunguko wa damu.
💚Huongeza stamina na kuamsha hisia.
💚Huchangia mwili kurudi kwenye nguvu haraka baada ya tendo.

🍯Asali huongeza nguvu ya haraka (instant energy).

⚠️ Tahadhari:

Usitumie kila siku bila kupumzika. (Inaweza kuaribu ukuta wa tumbo ikitumika kwa mfululizo pasina kupumzika, angalau itumike siku 3 - 5 kisha upumzike kwa siku kadhaa.)

Wenye vidonda vya tumbo/ulcers wazingatie kiasi au waepuke.

Ukiona inakuletea heartburn, punguza kitunguu.

✅ Ukiwa huna viambata vyote, basi tumia tangawizi + kitunguu maji + asali – bado inafanya kazi vizuri.

🏆 Haina Kufeli. Hii ni ukweli.

Kuna tiba ikiwa mbinu hii imefeli au tatizo ni kubwa.
Pata hii Mendose kwa bei nafuu urudi kwenye ubora wako wa asili.
PM for order.🙏♥️💪
1000129320.jpg
 
Tiba namba 1.waachane na stress wafanye mambo mengine
Tiba namba 2.wajikubali na maumbile yao madogo maana hawawezi kushindana na umbo la mwanamke linaloweza kupitisha kichwa Cha mtoto na mabega yake
Tiba namba 3: usinipambanie kunifikisha,mwaga sepa mi kileleni nitafika kwenye shopping
 
Sio tatizo hilo nichek whats app nikupe utatuz wake 0712505049
 
1. Balanced diet
2. Mazoezi ya mwili
3. Kulala muda wa kutosha
4. Kunywa maji ya kutosha
5. Mwanga wa jua
6. Fasting
7. Nofap
 
1. Balanced diet
2. Mazoezi ya mwili
3. Kulala muda wa kutosha
4. Kunywa maji ya kutosha
5. Mwanga wa jua
6. Fasting
7. Nofap
Mkuu uko sahihi 100%. Haya mambo ya kula sijui tangawizi na vitu kama hivyo haifai kwa kijana. Mazoezi muhimu sana kwa watu ambao hawana kazi za kutoa jasho.
 
Upuuzi mtupu
Habari,

Hongereni kwa kutimiza majukumu yenu ya kila siku kuhakikisha tunasogeza mbele gurudumu la maendeleo binafsi, familia na taifa letu.

Nimeamua kuandika uzi huu ili kuhakikisha pia tunajenga afya na kuendelea kutimiza majukumu yenu ya unyumba hasa kwa wanaume. Nimeleta hii huduma ya kwanza kwa wanao sumbuliwa na tatizo hili tuliitalo nguvu za kiume ( pre ejaculation, low testosterone, stamina n.k) kwa kutumia tiba asili ya majumbani.
View attachment 3482368

Juisi ya Nguvu kwa Wanaume 🚹🔥

Kama umekuwa ukihisi kupungua kwa hisia, au unashindwa kurejea haraka baada ya bao la kwanza, basi hii ni tiba ya asili yenye matokeo ya moja kwa moja.

Viambata vinavyohitajika:

Kipande cha tangawizi 🫚

Punje 3 za kitunguu saumu 🧄

Kitunguu maji kimoja 🧅

Tango moja 🥒

(Asali vijiko 2–3 kwa ladha na nguvu ya ziada 🍯)

Namna ya kutengeneza:
1. Safisha na katakata viambata vyote.

2. Weka kwenye blender, ongeza glasi moja ya maji.

3. Saga hadi upate juisi laini.

4. Chuja na kunywa nusu saa hadi lisaa moja kabla ya tendo.

Faida zake:
💚Huchochea mzunguko wa damu.
💚Huongeza stamina na kuamsha hisia.
💚Huchangia mwili kurudi kwenye nguvu haraka baada ya tendo.

🍯Asali huongeza nguvu ya haraka (instant energy).

⚠️ Tahadhari:

Usitumie kila siku bila kupumzika. (Inaweza kuaribu ukuta wa tumbo ikitumika kwa mfululizo pasina kupumzika, angalau itumike siku 3 - 5 kisha upumzike kwa siku kadhaa.)

Wenye vidonda vya tumbo/ulcers wazingatie kiasi au waepuke.

Ukiona inakuletea heartburn, punguza kitunguu.

✅ Ukiwa huna viambata vyote, basi tumia tangawizi + kitunguu maji + asali – bado inafanya kazi vizuri.

🏆 Haina Kufeli. Hii ni ukweli.

Kuna tiba ikiwa mbinu hii imefeli au tatizo ni kubwa.
Pata hii Mendose kwa bei nafuu urudi kwenye ubora wako wa asili.
PM for order.🙏♥️💪
View attachment 3482371
 
Wewe ungetangaza biashara yako badala ya blahblah nyingi
 
Back
Top Bottom