First 11 ya dunia hii hapa.

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Posts
36,507
Reaction score
45,129



Manuel Neuer (Germany);
Philipp Lahm (Germany),
Mats Hummels (Germany),
Ron Vlaar (Netherlands),
Danny Blind (Netherlands);
Bastian Schweinsteiger (Germany),
Javier Mascherano (Argentina);
James Rodriguez (Colombia),
Lionel Messi (Argentina),
Arjen Robben (Netherlands);
Thomas Muller (Germany)


Cha kusikitisha Waafrika hatujatoa hata mchezaji mmoja, mbali zaidi hata wale wachawi wa Samba nao hawajatoa hata mmoja.
 
Iyo si kwa mujibu wa sky sport ?..sioni ka kunashida....au labda tusaidie kutoa mtu mreplace
 
Hapa naona kuna upendeleo, yaani hata Cristiano Ronaldo kaachwa? mmmhh
 
Naona kuna vichwa vitano hapo kutoka ujerumani..kumbe wanastahili kombe
 
Ubaguzi tu ....ujerumani ilibebwa na Jerome boateng...Philip lahm hana lolote
 
Hata kipa Tim Howard kaweka rekodi but ndo hivyo tena...
 
Yaani hata Neymar Jr. hayupo?

Hiyo orodha haiwezi kuwa legit!
 
Yaani hata Neymar Jr. hayupo?

Hiyo orodha haiwezi kuwa legit!

Ustadh kuna kitu kuhusu Neymar sijaelewa, walisema alipata "broken vertebrae" nijuavyo hiyo ni madhara makubwa kwenye mwili wa binadam, nilitaraji asingetoka hsptl kwa muda mrefu sana, nashangaa kumuona juzi uwanjani anatembea, inakuaje ? Tupeni muongozo..
 
Hata Oscar!??


Halafu hiyo first 11 mbona ina wachezaji wanaocheza namba moja!??
 
Ubaguzi tu ....ujerumani ilibebwa na Jerome boateng...Philip lahm hana lolote

Sasa Ubaguzi Gani? Kwani Boateng si Ni mzungu Pia kama Baraka Obama tu? unafikiri amefanana na Zito Kabwe, Samweli Sita, Muhongo &Co?
Boateng mama yake ni Mzungu jerumani 100% baba yk ndio ngedere, kama Obama mama yake mzungu 100% baba yke ndio ngedere, SIYO 100% ngedere kama mimi na wewe!

 

Iko fractured tu, siyo broken kabisa.
 

me nahisi ile ilikua janja yao ya kuwatuliza mashabiki baada ya zile 7 ... Usikute hata kuumia hakuumia!
 
mbona simwoni continho wa yanga hapo.
 
Mwanzoni walifikiri ni hivyo, maana angeweza hata kupooza, lakini baadaye walikanusha na kusema ilikuwa juu kidogo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…