jamani fireworks zimepigwa marufuku. Hamna fataki wala mimoto angani. Angani giza limetanda kama tuko pangoni, lakini ndani mwa moyo wangu kuna mwanga mkali unaangaza.
Unamulika kwenu huku ukiwaleteeni salamu kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu.
Nawapendeni sana wana jf hasa wale wanaonikera kwa misimamo yao iliyotofauti na wangu. Mtu kama
ritz, @w.s. Malecella,
nnauye jr,
jey key na wengine wengi, nawatakieni heri na fanaka. Pia marafiki zangu wapendwa
zion daughter,
boflo, @c6,
watu8, @da mie,
ndyoko,
mtambuzi,
mbuzi mzee,
cacico,
kakakiiza,
mzizimkavu,
gfsonwin,mpinzani wangu wa jadi
asprin na mpambe nuksi wake
kaizer ashadii,
nazjaz,
smile,
ciello,
charminglady,
mamengijuja,
nguli, wasukuma wenzangu
nyani ngabu,
ng'wanza madaso, watu wangu wa mby
pakajimmy na
idimi bila kumsahau
uyole. Chelelute nsipokutaja ntasutwa
pearl,
firstlady1,
lilian masilago, na
bak nawataka muinuke muangaze.
Mtakutana na vikwazo vingi, mtavishinda kwa kuwa nyie ni wapendwa wa mwenyezi mungu.
Happy new year