IsangulaKG
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 706
- 386
Mkuu hao fire wamepita njia ipi, mbona mimi sijawaona na nilikuwa sehemu hizo?Nipo hapa Mbz Beach jirani na Baraza la Mitihani, kuna nyumba ya bibi mmoja imeungua, wananchi kwa bidii zao kwa kutumia ndoo sufuria sahani hadi vijikonwameweza kuzima moto japo mali nyingi zimeteketea. Fire department imefika baada kama ya saa nzima......wameambulia matusi toka kwa wananchi, almanusura wapondwe mawe.
Hii inadhihirisha kuwa watunga sera na mifumo ya kudhibiti majanga hawajaweza kuweka mipango sahihi kukabiliana na majanga ya aina hii...
sasa hii imeingia kwenye jukwaa la siasa?
Sera na mipango siyo siasa? Au unadhani siasa ni uchaguzi tu?
Watanzania
Acheni uvivu wa kufikiri ile fire station was designed for 40,000 inhabitants Leo hii Dar has expanded 100 times and you fools think of the same station. The fire tender can't serve half of the CBD and even the fire Hydrants are dry. Kuna haja ya Kawambwa kuanzisha Somo la Fire fighting kwenye mitaala ya Shule. Mji unakua with Skyscraper but nobody is thinking of fire fighting. Kutoka pale fire has Mbezi is almost 20 Km na barabara zimewekwa matuta ya viazi in the name of speed humps. And there is no water that means the fire truck has to carry water all the way. It's only by miracle if they arrive and attend or extinguish any fire so it's bazaar???
Itafika mahali those three to four trucks won't be able to move apart from fetching water for their bosses. Nimeishiwa maneno I don't what I can advise you. Actually all Tanzanian towns might all burn out as no fire fighting is functional just on scratching your heads.