Fire Extinguisher Carbon dioxide (CO2) 50 kgs

Fire Extinguisher Carbon dioxide (CO2) 50 kgs

Kimbweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2009
Posts
8,597
Reaction score
1,690
Habarini wanajamvi!
Natafuta fire extinguishers CO2 kama tano hivi hapa DSM zenye ujazo wa 50 kgs ambazo zinakuwa fixed kwenye troley yenye matairi matatu inayoweza kusukumwa na mtu mmoja. Hizi ni kwa ajili ya kuweka gerage ambapo gesi inatumika sana kwa kuchomelea na upigaji rangi.

Mwenye kuwa nazo au kujua kampuni inayouza naomba aniambie ili tuweze kuwasiliana.

Asante
 
Back
Top Bottom