Salaam,
Msaada wadau, nimekuta gari yangu imepigwa fine, license number ni mtu nisiyemfahamu, nimejearibu ku-blast hyo licence namba yake kwenye system nimekuta ana makosa mengine namba zetu za magari Zimekaribiana.
Nashawishika kuamini kua askari atakua amekosea. Pia kosa limeandikwa driving a public/commercial vehicle beyond speed limit na gari yangu haijawahi kuwa commercial/public.
Nimeenda kituo cha polisi urafiki hawana majibu, wananitaka nilipe, wakilazimisha kua itakua kuna mtu nimemuazima gari. Na mie sijamuazima mtu gari.
Sehemu lilikofanyika kosa ni milade sijui ht iko wapi