Financial Report-Taarifa Ya Fedha

Masokotz

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
3,965
Reaction score
6,737
Habari Njema kwa Wamiliki wa Biashara ndogondogo

Hapa ninazungumzia wale wafanya biashara ambao wanafanya biashara na ambao hawana uwezo au ujuzi wa kuwa na kitengo maalum cha fedha na ambao wanatamani kuwa na mfumo mzuri wa kutunza kumbukumbu za Fedha za biashara zao.Hapa nazungumzi utunzaji wa kumbukumbu za Mpato na Matumizi,Uandaaji wa taarifa za fedha ikiwamo Balance Sheet,Profit and Loss statement etc.

Wengi wamezoe kupata huduma hizi kutoka katika proffessional accounting firms ambazo kwa kiwango kikubwa zinatoza ada ambazo sio rafiki kwa biashara ndogo

Hivyo basi kwa wale abao wangependa kufurahia huduma za kisasa za utunzaji wa kumbukumbu za kibiashara huu ndio wakati wa kufurahia huduma:

Walengwa wa huduma hizi ni wamiliki wa biashara ndogo ndogo kama vile maduka,Bar na Pub,Restaurant,Maduka ya Vifaa vya ujenzi,Maduka ya vifaa vya Magari na Pikipiki-Spare parts.

Unapata huduma hizi kwa gharama nafuu kabisa ambapo utapatiwa

Copy Moja ya Balance Sheet kila week/mwezi na Copy moja ya Profit and Loss statement.

Utapewa pia electronic report quartlely and annual report ambazo unaweza kuzihifadhi katika faili pamoja na nyaraka nyingine.

Huduma hii pia inaweza kuhusisha kukuunganisha na Kampuni za uhasibu iwapo utahitaji.

Tafadhali wasiliana nasi kwa email:masokotz@yahoo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…