pombe ya leo said
Member
- Jun 30, 2020
- 15
- 10
Sio wewe ndo umekurupuka mkuu?Akili huna
Fananisha mapatato wanaopata Al Ahly kutokana na udhamini na ushindi wa vikombe ufananishe na hapa kwetuSio wewe ndo umekurupuka mkuu?
Sasa si ndo nimekuambia CAF hii sheria haijawa implemented.Mbona ulikurupuka dogo?Fananisha mapatato wanaopata Al Ahly kutokana na udhamini na ushindi wa vikombe ufananishe na hapa kwetu
Alafu niambie kitakachokuja kutokea kwenye mashindano ya Champions league na Confederation
Hata ingekuwepo Simba wasingepata adhabuSasa si ndo nimekuambia CAF hii sheria haijawa implemented.Mbona ulikurupuka dogo?
Ila anazomwaga GSM kwa marefa na wachezaji wenu wachovu huzioniIla nahisi CAF hawana hii sheria maana li-MO linamwaga mihela likijisikia tu.
Wana viwanja, udhamini mnono, mapato mengi ya uwanjani utopolo kila siku wanabadilisha.viwanja mapato ya uwanjani sifuri madeni ya wachezaji yamezidi thamani ya timuHata ingekuwepo Simba wasingepata adhabu
Mbona umekurupuka mzee unafahamu mimi timu gani?Ila anazomwaga GSM kwa marefa na wachezaji wenu wachovu huzioni
OK.Hata ingekuwepo Simba wasingepata adhabu
Financial play inahusiana na matumizi ya pesa za vilabu kutokana na kipato wanachoingiza sasa unapoisema Simba kuhusiana na pesa za mo azam na yanga pesa wanazotumia ni sawa na wanaxoingiza hapo utajua mi na wewe nani kakurupukaMbona umekurupuka mzee unafahamu mimi timu gani?
Tatizo GSM Ela zake nyingi Ni za magodoro, ndo maana wachezaji wanalala sanaIla anazomwaga GSM kwa marefa na wachezaji wenu wachovu huzioni