Financial Fair Play inahusika nini?

Jun 30, 2020
15
10
Habari wakuu
Nimekua nikisikia hili neno siku nyingi kwenye soka ok kiufupi Financial Fair Play ndio nini?
Ina husika na nini?

Uzi tayariđź‘‹đź‘‹
 
Inahusika na kuzibiti matumizi mabaya ya pesa katika soka . Pesa unazonunulia wachezaji zitokane na pesa unazozalisha kutokana na kupiga soka .
 
Sio wewe ndo umekurupuka mkuu?
Fananisha mapatato wanaopata Al Ahly kutokana na udhamini na ushindi wa vikombe ufananishe na hapa kwetu
Alafu niambie kitakachokuja kutokea kwenye mashindano ya Champions league na Confederation
 
Fananisha mapatato wanaopata Al Ahly kutokana na udhamini na ushindi wa vikombe ufananishe na hapa kwetu
Alafu niambie kitakachokuja kutokea kwenye mashindano ya Champions league na Confederation
Sasa si ndo nimekuambia CAF hii sheria haijawa implemented.Mbona ulikurupuka dogo?
 
Mbona umekurupuka mzee unafahamu mimi timu gani?
Financial play inahusiana na matumizi ya pesa za vilabu kutokana na kipato wanachoingiza sasa unapoisema Simba kuhusiana na pesa za mo azam na yanga pesa wanazotumia ni sawa na wanaxoingiza hapo utajua mi na wewe nani kakurupuka
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom