Finally nimepata relief...

Lililo gumu ndilo sahihi kwako. Usilale na mtu ambaye haupo tayari kuzaa naye, atakuja kubeba mimba afu atakayekuja kuteseka ni mtoto. Ukiona huyu mtu sina future naye, achana naye fasta.
Haaaaaaa ,Madam uliyelala naye kwa mara ya kwanza ndio amekuoa??.


Huu ushauri ni mzuri ila nikwamba Hautekelezeki .

Kikubwa Mwana acheze na siku.,ameshindwa sana apige na ndomu

Ikitokea amepiga nyamnyama nasiku za hatari

Huyo ni mtu wa Afya, anajua afanye nn!!.
 
Sio majukumu..watu wengine hawapendi kulea mtoto kwa kumnyimanyima malezi ya wazazi wawili kwa pamoja au kwa kificho..
 
Mkuu nilikuwa maeneo ambayo sio mgeni na kuulizia RR wanasema hamna sijui zimeadimika blah blah..
Aaaahh ndo maana, ndichi ndichi huko RR hazipatikan maana ni gharama

Embu fikria kama unataka piga goli 4 unatakiwa utoe buku 6 .

Watu wa huko wanapelekewa za Bukubuku. Au jero, saa ingine izi za hisani


Sema nn.... Hongera kwa kuzingatia Utumiaji wa Ndom japo ilipasuka, iyo ni ajali kazin
 
Anaweza kuwa alikuwa anakujaza tu siku zote au ni kweli anayo ila kaona mjuba haueleweki kaamua akambambike mwingine huko aliyekubali!

Mwenye nchi kashasema mpunguze raha awamu hii mwelewage jamani ooh
 
Kafanye sperm analysis,inawezekana huna sumu ya kumvimbisha mtu.. Kicheko chako kitageuka kilio. Kidume unashangilia eti jike lake halijabeba baada ya kuingia chimbo!!! Watoto wa kiume vipi
 
Huwa siwaelewi watu wanaobeza ndom..hawana tofauti na wale wanaosema hamna AIDs..

Postinor 2 (P2) imeniokoa,nilikuwa na wasiwasi maana alitumia late kidogo
 
Huwa siwaelewi watu wanaobeza ndom..hawana tofauti na wale wanaosema hamna AIDs..

Postinor 2 (P2) imeniokoa,nilikuwa na wasiwasi maana alitumia late kidogo
Aaaahhh kumbe na Mzigo alitumia


Ila kale kahal ka sijui itafanya kazi... Huww kanakuwepo tu

Mpaka siku aone mchuzi
 
Mara paap ukweli ni kuwa kaona spotting zinazotambukisha implantation
 
Kwani Rough rider bei gani ?
 
Mtu wa afya, ila si umeona kijasho kimemtoka hapo?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…