Usifanye nae sasaUnaweza kuwa na mtu lakini kuzaa nae sio hitaji kuu kwa muda huo..
Lililo gumu ndilo sahihi kwako. Usilale na mtu ambaye haupo tayari kuzaa naye, atakuja kubeba mimba afu atakayekuja kuteseka ni mtoto. Ukiona huyu mtu sina future naye, achana naye fasta.So tufanye na ambao tunaweza kuzaa nao tu??..in reality hili haliwezekani
Eeee ili uwe na amaniSo tufanye na ambao tunaweza kuzaa nao tu??..in reality hili haliwezekani
ahaa kumbeSitaki kutengeneza"single maza" mkuu
Chief bado unatumia Dume??Good evening sis' and bro's
Najihisi mwenye furaha kushinda mtu yeyote duniani leo hii...
Kuna maeneo ndom zenye ubora zimepotea na zilizobaki ni za viwango vya chini,kupasuka katikati ya gemu ndio kitu zinafanya zimetaka kuniletea msala, good news ni kuwa nimechomoka na nitaangalia game ya UCL kati ya chama langu United na RB Leipzig kwa amani.
Tutumie zenye viwango mfano rough rider n.k
View attachment 1644688